Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika,
Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja kupiga kura hawaoni majina yao,
Wanachosema ni kwamba majina yamerundikana na hayajapangwa Kwa herufi (alphabetically) hii inawafanya washindwe kuona jina.
Viongozi wamedai Hali hiyo imesababishwa na wananchi kutokuja kuhakiki majina.
Pamoja na hayo, inaonekana mwitikio WA wananchi ni mdogo sana, kwani maeneo mengi ya vituo watu ni WA kuhesabika.