LGE2024 Kinondoni: Majina ya wapiga kura yameandikwa kiholela

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

MeVSMe

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2024
Posts
270
Reaction score
425
Kama tunavofahamu Leo tunapiga kura, na zoezi limeshaanza tayari.

Sasa nimepita hapa Kata ya kinondoni shule ya msingi, wananchi wanalalamika,

Wengine wameondoka kabisa, kwasababu wamekuja kupiga kura hawaoni majina yao,


Wanachosema ni kwamba majina yamerundikana na hayajapangwa Kwa herufi (alphabetically) hii inawafanya washindwe kuona jina.


Viongozi wamedai Hali hiyo imesababishwa na wananchi kutokuja kuhakiki majina.

Pamoja na hayo, inaonekana mwitikio WA wananchi ni mdogo sana, kwani maeneo mengi ya vituo watu ni WA kuhesabika.


Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.

 
Watu wengine wameghairi kupiga kura
 


Kumekucha, watu wameshachoka na mboga mbichi za kijani siyo?
 
Daaaa ujinga na uoga wetuu.....tutanyanyaswa sana
 
Tunamshukuru mama kwa kufanikisha hili pia
 
Why, wauwe Sasa๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ.

Soon utasikia jeshi la Polisi linakanusha๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ, wallah aliesema siasa ni mchezo mchafu aliona mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ