Elections 2010 Kinondoni Need MP like Mpoki Mwambuluku

Mtanganyika

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2007
Posts
1,601
Reaction score
955
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.
 
..and Mtanganyika and Mpoki are identical twins, right?
 
Mkuu Mtanganyika being an average Joe is not a reason. Anybody who is an MP will no longer be an average Joe. Even most of the leaders we have now started out as "Average Joes".
 
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.

CV ni jambo moja, na kudeliver ni la pili. Lakini kwa ufupi ni design ya watu ambao ni promising, ambao tungependa wawe wabunge. The problem is inaweza kuja kuwa design ya wengine waliotoka Marekani. Tulikuwa na matumaini makubwa lakini wakabadilika kuja kuwa wezi wakubwa na wababaishaji, kazi yao ikawa ni kujidai na kutembea ovyo na wanawake. He is promising yes, lakini we have to wait and hear more from him or evn know more from him before endorsing him. Lakini for sure he is much much better than the current one.
 
It seems you guys have learnt nothing about tulivyoambiwa kuhusu Masha those dayz na nini kiliendelea na kinachoendelea!!!!!!!!!!
 
Mkuu nakubaliana na wewe. We expected a lot from Masha, look at him now. More disappoint than old school team. Nina wasiwasi mkubwa na hawa tunaowaita vijana, wengi wanapenda sifa, wanawake na anasa hakuna la maana wanalofanya. Si wote lakini wale tuliowategemea wameonesha hivyo, i wonder kama itakuwa tofauti na wengine.
 
Tanzania ni shamba la bibi,rejea sentence anazoongea Mh Magufulu,umekaa nje kwa miaka mingi umeona watu wanavyojichotea mijihela bongo ukaona bora na mimi nikifia bongo.Bongo tambarare lakini umekuja na mijihela?maana hapa bila pesa hupati uongozi popote labda chadema.Sijajua unataka kugombea chama gani,chama cha mapesa au chama cha walalahoi wadanganyika sorry watanganyika.
Ni maoni yangu tuu.
I salute by joining the team of daily crying and NO ACTION AND FUTURE PERSPECTIVE
tHANKS ONCE AGAIN
 
Nikitambo sana tangu kuandika hapa kwenye JF, the reason behind is the forum became sold out.However, leo nimeamua kuandika kwa nini Kinondoni wamchague Mpoki Mwambulukutu.

Kwanza compare na wagombea wengine nadhani ana CV ambayo imesimama. B.A Economics, MBA then M.Phil in Economical development. He is outsiders, means hana link na any so called mtandao. Ana 360 exposure means ameishi in the west for sometime kabla hajarudi nyumbani.

His views toward Tanzania economic development are based on facts and not fiction like many Tanzania politician. He is humble man and hard worker.

Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.

Okay tumekusikia Mkuu,

Ushauri wa bure, mwambie wakati anaomba kura asisahau kupiga magoti kwa unyenyekevu...bila hivyo hapati kitu.
 
Kuna problem ya kasumba katika nchi yetu. Tunadhani kuwa, mtu akisoma nje ya nchi anaweza kuwa na manufaa zaidi kwetu kama kiongozi. Ni upotofu kudhani kuwa waliosoma nje ya nchi wamefundishwa jinsi ya kuongoza nchi zao wakiwa huko.

In fact, watu wengi walio nje ya nchi wanadhani kuwa, wana ufahamu zaidi ya walio ndani ya nchi (wajuaji zaidi) na hivyo wao ndio wanaostahili zaidi kuwa viongozi.

Kuna kasumba nyingine pia kuwa, kama mzazi au mlezi alikuwa kiongozi, basi ni lazima na rahisi kwa mwanae pia kuwa kiongozi mzuri. Nadhani mambo kama haya na mengine ndio yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.

Mwache Mpoki apambane na wengine, athibitishe umahiri wake kiuongozi na aonyeshe uwezo wake wa kutambua na kutatua matatizo ya jamii anayotaka kuiwakilisha. Si vyema kuanza kufanya pre-qualifications za wagombea. Kwani nani amekuambia kuwa wagombea wengine hawana sifa za uongozi kuliko yeye?
 
Chama gani wakuu please!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mtanganyika, you better change your name to MDANGANYIKA! It seems your stay in USA has not kept you up to speed. Who's he (Mpoki)?. Stay well, research more...........
 
u could be wise if u could appreciate that ur opinion is just urs and not fatal, jf was not sold but ur ignorance confused u to make u expect to see u in others, open ur eyes and be a wise man not a stupid kind of a thing!

Second, about ur mpoki kind of a thing, i advice u to refer to the qualification of a good leader coz what u mentioned seem to be far from the real ones, i won't go far coz i will be looked as u but u may go back to school for the sake of urself.
 
Kuna problem ya kasumba katika nchi yetu. Tunadhani kuwa, mtu akisoma nje ya nchi anaweza kuwa na manufaa zaidi kwetu kama kiongozi. Ni upotofu kudhani kuwa waliosoma nje ya nchi wamefundishwa jinsi ya kuongoza nchi zao wakiwa huko.

In fact, watu wengi walio nje ya nchi wanadhani kuwa, wana ufahamu zaidi ya walio ndani ya nchi (wajuaji zaidi) na hivyo wao ndio wanaostahili zaidi kuwa viongozi.

Kuna kasumba nyingine pia kuwa, kama mzazi au mlezi alikuwa kiongozi, basi ni lazima na rahisi kwa mwanae pia kuwa kiongozi mzuri. Nadhani mambo kama haya na mengine ndio yanayorudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu.

Mwache Mpoki apambane na wengine, athibitishe umahiri wake kiuongozi na aonyeshe uwezo wake wa kutambua na kutatua matatizo ya jamii anayotaka kuiwakilisha. Si vyema kuanza kufanya pre-qualifications za wagombea. Kwani nani amekuambia kuwa wagombea wengine hawana sifa za uongozi kuliko yeye?

Mkuu Recta,

Watanzania tuna UBUMBAVU mkubwa (tena san) wa kudhani MTU fulani Diwani/ Mbunge/ Rais ATATULETEA maendeleo!!!
 
Hakuna maendeleo ambayo yanaletwa na mtu mmoja kwa jamii ya watu wengi.

Kiongozi anachoweza ni kuonyesha njia na kusaidia kuondoa urasimu pale ambapo anaweza kupenyeza influence yake. Hata ukichagua kiongozi msomi, mwenye kila aina ya exposure na uelewa, kama hana influence hawezi kusababisha mabadiliko wala kutatua matatizo yoyote yanayokabili watu wake.

Barabara, maji, umeme, shule, hospitali n.k hujengwa na kusimamiwa na serikali na wala sio Mbunge wala Diwani yeyote. Hata Rais anaaweza kusababisha maendeleo kwenye sehemu anazotaka kwa kutumia cheo chaek na sio uwezo wake binafsi.

Ni vyema watu wajue kuwa, kama mwakilishi wao hana ushawishi (influence) atabaki kuwa mwakilishi Bungeni (Mbunge) au kwenye Council (Mbunge na Diwani) na muda utapita bila mabadiliko yoyote.
 
Tanzania need people who understand development, because we're still developing and Mpoki knows development inside out.

Last, he is a common Joe...... He is a national treasure.

Mtanganyika give us a break..............................dude!

Which development are we referring here; the one which made him go to the WEST and now he is back? That kind of development huh !:becky:
 
AS mentioned, Hata mimi nadhani Mpoki Deserve. Alisoma Ilboru Seconadry in 90's na wakati huo kulikiuwa na watoto wengi walirudi kusoma nchini toka nje ya nchi, hakuwa na classes kama wengine, was friendly na mtu wa watu
 
mbona swali halijibiwi angombea kupitia chama gani, usomi sio ishu kwani ni wengi nowdays ni wasomi lakini ndio wamekua wapuuuzi kabisa, ajitambulishe zaidi tumjue! alikuja masha na chamber yake ya law tukadhan angekua makini lakini angali ndio kwanza madem, starehe nk
 
Nimesoma kwenye news kajitokeza kwenye kura za maoni kwa tiketi ya CCM( Mwananchi 21 July,2010) na mengine
 
MPOKI+MWAMBULUKUTU.JPG

MPOKI MWambulukutu akionyesha vyetivyake
 
Back
Top Bottom