Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa gumzo kubwa mjukuu wa Bakhresa naye anatajwa kuingia ulingoni!
Sasa maswali ni mengi... Je, huu ni mpambano wa kisiasa au wa mabwanyenye? Kinondoni inasubiri kwa hamu, nani ataibuka kidedea? 👀🔥