super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,057
- 825
Wananchi wanakukubali ukiwa na hela.Kabisa huyu naona ana chance kubwa pia kwenye kinyang'anyiro hiki. Wananchi wamemkubali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wananchi wanakukubali ukiwa na hela.Kabisa huyu naona ana chance kubwa pia kwenye kinyang'anyiro hiki. Wananchi wamemkubali sana
Bakhresa ni Mkurugenzi/CEO muda mwingi anawaza jinsi ya kuendeleza makampuni yake hawezi kuwa na muda wa kutosha kudili na figisufigisu.Kwa hio unadhani SSB yeye hajui hizo tactic ?
Wameanza kufanya reformsNo reform no elections
😁😁😁😁Wameanza kufanya reforms View attachment 3259336