Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Lakini kumbuka Daudi alimshinda Goliati, huenda akashinda Mayala au moja Kati ya wenye njaaWakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa gumzo kubwa mjukuu wa Bakhresa naye anatajwa kuingia ulingoni!
Sasa maswali ni mengi... Je, huu ni mpambano wa kisiasa au wa mabwanyenye? Kinondoni inasubiri kwa hamu, nani ataibuka kidedea? 👀🔥
If it's true, then Bakhresa's grandson will spend a lot of money, but he'll never make it to the Parliament—unless President Samia pulls some favoritism tricks like Magufuli did in 2020. His grandfather's money will never help him.Wakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa gumzo kubwa mjukuu wa Bakhresa naye anatajwa kuingia ulingoni!
Sasa maswali ni mengi... Je, huu ni mpambano wa kisiasa au wa mabwanyenye? Kinondoni inasubiri kwa hamu, nani ataibuka kidedea? 👀🔥
You are correct.If it's true, then Bakhresa's grandson will spend a lot of money, but he'll never make it to the Parliament—unless President Samia pulls some favoritism tricks like Magufuli did in 2020. His grandfather's money will never help him.
Umemsahau mheshimiwa diwaniWakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa gumzo kubwa mjukuu wa Bakhresa naye anatajwa kuingia ulingoni!
Sasa maswali ni mengi... Je, huu ni mpambano wa kisiasa au wa mabwanyenye? Kinondoni inasubiri kwa hamu, nani ataibuka kidedea? 👀🔥
Nyamwija!!!Umemsahau mheshimiwa diwani
Kabisa huyu naona ana chance kubwa pia kwenye kinyang'anyiro hiki. Wananchi wamemkubali sanaNyamwija!!!
Kwa hio unadhani SSB yeye hajui hizo tactic ?You are correct.
The town Kontawas have extra tactics beyond money.
They know a lot about playing with all kinds of challenges and maneuvering.
They also know who is in the system of every process in all phases and how to contact them for confirmation ahead of time.
Ukoo wa Bakhresa hauwezi kuingia kwenye takatakaWakuu
Unaambiwa joto la ubunge Kinondoni linazidi kupanda! Wengi wanapanga kurusha karata zao, lakini kwenye mchuano wa wakali, majina yanayotajwa kwa nguvu ni pamoja na mbunge wa zamani Idd Mohamed Azzan anayetaka kurudi bungeni tena, kigogo wa siasa na biashara Tarimba Gulam Abbas, na sasa gumzo kubwa mjukuu wa Bakhresa naye anatajwa kuingia ulingoni!
Sasa maswali ni mengi... Je, huu ni mpambano wa kisiasa au wa mabwanyenye? Kinondoni inasubiri kwa hamu, nani ataibuka kidedea? 👀🔥
Siasa Sio takataka, Daniel Arap Moi Rais wa Pili wa Kenya aliwahi Kumuambia Uhuru Kenyata Kabla hajawa Rais Kuwa Hataki issue za Siasa atalindaje Mali?Ukoo wa Bakhresa hauwezi kuingia kwenye takataka
Mnadhani mkizoea kurudia kuyaandika haya maneno ndio lengo lenu litafanikiwa!. CCM walishajipanga vizuri sana nchi nzima sio rahisi kuwatoa kwa hizi kauli mbiu nyepesi.No reform no elections
AiseeDuh aiseee