Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo TID anavyojitambulisha sasa, utasikia eti "TID a.k.a Mnyamaaaa"Kino tunafeli kinoma yaani, wapi mega superstar TID [emoji1787][emoji1787]
Shule zishafungwa kwan?
Watoto wa kinondoni wanachojua wao kudanga, kuuza unga na kujichubua kama dada zao.Naangalia hapa mapambano ya ngumi utangulizi kabla ya pambano la megasuper star Mwakinyo asilimia kubwa ni watoto wa Temeke na walau Ilala. Hivi Kinondoni tunaweza nini yaani.
Kinondoni tunafeli kinoma yaani.