Kinondoni tunafeli wapi lakini katika ndondi?

Kinondoni tunafeli wapi lakini katika ndondi?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Naangalia hapa mapambano ya ngumi utangulizi kabla ya pambano la megasuper star Mwakinyo asilimia kubwa ni watoto wa Temeke na walau Ilala. Hivi Kinondoni tunaweza nini yaani.

Kinondoni tunafeli kinoma yaani.
 
Uzi tayari ...[emoji1787][emoji1787]
 
Huku tunajua kwenda la stanza, tips,samaki samaki,Golden J,Bucket,Havoc etc mambo ya kupigana na wala bata wapi na wapi?

Kwanza kwanini wanapigana?wana ugomvi kwani?
 
Naangalia hapa mapambano ya ngumi utangulizi kabla ya pambano la megasuper star Mwakinyo asilimia kubwa ni watoto wa Temeke na walau Ilala. Hivi Kinondoni tunaweza nini yaani.

Kinondoni tunafeli kinoma yaani.
Watoto wa kinondoni wanachojua wao kudanga, kuuza unga na kujichubua kama dada zao.
 
Si takwimu fulani zilisema udhaifu wenu Wanaume wa kinondoni!!?
 
Back
Top Bottom