Kinondoni yafunga saluni zinazotoa huduma za masaji na kujichubua ngozi kwa kuwatundikia drip

Kinondoni yafunga saluni zinazotoa huduma za masaji na kujichubua ngozi kwa kuwatundikia drip

Wengine wanaambiwa utapungua uzito uwe binti Mdogo .
Wengine wanasema pia unakuwa mweupe na rangi amazingly.

Tamaa mbaya sana.

Sasa hawajiulizi hadi kwenda kuwa hivyo mwilini kitafanyika nini bila madhara ya vingo vya mwili kiafya?!

Sijui Kwanini hawajiulizi maswali na kiwa suspicious?!
 
Udungwe ma-drips kwenye mishipa ya damu?!

Yani hiyo madhara yake ni moja kwa moja ndani ya muda mfupi yanaonekana.

Afadhali kujikibali mtu ulivyo jamani.
 
Back
Top Bottom