kitaruo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 200
- 163
Leo nimepitia baadhi ya post insta, ingawa mm sio mpenz sana wa mtandao huo.
Katika pita zangu nimejikuta naangalia post mbalimbali za diamond. Moja wapo ni show ya namibia. Ukiangalia kwa makin unaona shangwe la mashabiki na jins walivyo mpokea mtanzania huyu.
Sikuishia hapo, nimejikuta nimevutuwa zaid, nikaingia youtube, bwana hee! Show ya ghana, madagaska alitisha. Hapa nikagundua kuwa mziki wetu unakunalika sana nje, sa kwa baadhi ya wasanii haswa diamond.
Sasa bas, kwa staili hiyo, kama clouds wanampango wa kumshusha kimziki wasahau, kama walisha fanya hivyo kwa wasanii wengine sio kwa diamond, ni no nyingine
Bila kukosea clouds walisha mfanyia promo aslay, wakashindwa... lakin walizima, sijui waliona dogo hana mvuto. Hawakuishia hapo, walisha wahi kuwa na kiba day, yote ni kumuumiza diamond.
Nimekuja kugundua kuwa wasaf ndo bongofleva kwa sasa bila wasafi hakuna bongo music. Kwann? Fiesta imekosa mzuka, sio kama kipindi hicho. Nakumbuka msimu wa fiesta ulikua ni holday now day ni hola
Vijana wanasubiria wasafi festiva kwa hamu. Kibaya zaid, wasafi wameanda show had nairobi
Ushaur wangu, cloud kama kunamahali mlimkosea diamond rudin mkamuombe msamaa