Kinyang'anyilo cha mgombea urais tiketi ya "ccm" 2005 nikipi kilitokea??

Kinyang'anyilo cha mgombea urais tiketi ya "ccm" 2005 nikipi kilitokea??

Jethro

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2009
Posts
2,219
Reaction score
371
Wana JF,

Nilipenda kujua ile 2005 pale Chimwaga Dodoma wakati wa wajumbe wa CCM toka mikoa yote ya Tanzania kwenda kumchagua mgombea Urasi mmoja kwa tiketi ya CCM kulitokea nini?

Dr. Salim Ahamed Salim alishindwa vipi na Mrisho JK wakati tulikuwa tukijua fika Dr.S.A. Salim alikuwa achukuwe nchi na kwa hali yoyote ile M .JK alikuwa hana ubavu wa kumshinda Jamaaaa, Je kulitembea propaganda zipi mpaka JK akashinda??

Kwanini nauliza ivyo? Nilipenda kujua chanzo cha haya yote mpaka CCM ilipofikia hapa maana na Hisi fika chanzo ni pale na kubatizwa kwa makundi ndani ya CCM ndio palikuwa pale.

Nani alifaaa kutuongoza kwakuangalia Profile zao za kiutendaji ktk serikali,ndani ya CCM na Nje ya Nchi kati ya Mrisho J. Kikwete vs Dr. Salim Ahamed Salim

nipeni ukweli wa mambo
 
Politics is not about competence, politics is about alliances and interests.
 
Back
Top Bottom