Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF ,na ambae sasa anawania nafasi ya Urais wa shirikisho hilo Bwana Wallace Karia amewekewa pingamizi dhidi ya uraia wake.Bwana Karia ambae duru za siasa za soka letu zinadai alikuwa ameandliwa na Mamlaka za Serikali kuhakikisha kuwa anakuwa Mrithi wa Bwana Malinzi. swali je ikithibitika kuwa ni kweli yatamkuta yaliyompata meneja mikakati wa aliyekuwa Mgombea wa urais wa UKAWA bwana BASHIR. Yetu Macho.