Kinyang'anyiro urais TFF: Wallace Karia hakuwahi kuukana uraia wake wa Somalia!

Kinyang'anyiro urais TFF: Wallace Karia hakuwahi kuukana uraia wake wa Somalia!

Hivi hii sio njia ya kujitangaza atambulike naye yumo?
 
Ukitaka watu wakuchokonoe basi chukua fomu ugombee nafasi yoyote ile yenye kinyang'anyiro.

Hadi uchaguzi huu ukamilike, tutayasikia mengi!!!
Hahahaaa yaanii unaweza pewapingamizi ulishaawahi achika kwenye ndoa
 
Umakamu wa rais aliupataje kama sio mtanzania?
 
Back
Top Bottom