Kidogo chetu
JF-Expert Member
- Nov 27, 2009
- 1,432
- 992
Karia Raia wa Somalia????Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF ,na ambae sasa anawania nafasi ya Urais wa shirikisho hilo Bwana Wallace Karia amewekewa pingamizi dhidi ya uraia wake.Bwana Karia ambae duru za siasa za soka letu zinadai alikuwa ameandliwa na Mamlaka za Serikali kuhakikisha kuwa anakuwa Mrithi wa Bwana Malinzi. swali je ikithibitika kuwa ni kweli yatamkuta yaliyompata meneja mikakati wa aliyekuwa Mgombea wa urais wa UKAWA bwana BASHIR. Yetu Macho.
Ndo pingamizi alilowekewa mkuuKaria? Somalia????
Ukitaka watu wakuchokonoe basi chukua fomu ugombee nafasi yoyote ile yenye kinyang'anyiro.Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF ,na ambae sasa anawania nafasi ya Urais wa shirikisho hilo Bwana Wallace Karia amewekewa pingamizi dhidi ya uraia wake.Bwana Karia ambae duru za siasa za soka letu zinadai alikuwa ameandliwa na Mamlaka za Serikali kuhakikisha kuwa anakuwa Mrithi wa Bwana Malinzi. swali je ikithibitika kuwa ni kweli yatamkuta yaliyompata meneja mikakati wa aliyekuwa Mgombea wa urais wa UKAWA bwana BASHIR. Yetu Macho.
Ni Karia siyo Kiria, huko kuna Karia?Hivi Karia si watu wa Mkoa uleee wanaotengwa tengwa na jamaa yuleee.
wahi kuwa DED MvomeroNi Karia siyo Kiria, huko kuna Karia?
Huyu Karia alisha wahi kuwa DED wa pande hizo lakini....
Karia na Kiria zote zipoNi Karia siyo Kiria, huko kuna Karia?
Huyu Karia alisha wahi kuwa DED wa pande hizo lakini....
ali
wahi kuwa DED Mvomero
Ndugu kama ulichoandika n kweli basi atakuwa Raisi tu..Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF ,na ambae sasa anawania nafasi ya Urais wa shirikisho hilo Bwana Wallace Karia amewekewa pingamizi dhidi ya uraia wake.Bwana Karia ambae duru za siasa za soka letu zinadai alikuwa ameandliwa na Mamlaka za Serikali kuhakikisha kuwa anakuwa Mrithi wa Bwana Malinzi. swali je ikithibitika kuwa ni kweli yatamkuta yaliyompata meneja mikakati wa aliyekuwa Mgombea wa urais wa UKAWA bwana BASHIR. Yetu Macho.