Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya wananchi.
Rais anahangaika huku na kule kuna wapuuzi wamekaa kwenye kiyoyozi wanashika videvu.
Mh. Waziri kama upo humu ujue kuna binadamu wanatamani wakusikie. Nipe namba yako inbox iungwe kwenye Group ujionee.
Hili eneo lina shida isiyoelezeka
Uje ujionee tangu mvua kubwa zinanyesha, hakuna maji hadi leo.
Soma zaidi;

- DAWASA: Changamoto ya maji Tabata kuisha Disemba 2024
- Dar: Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amsimamisha kazi kaimu Mkurugenzi wa DAWASA, Shaban Mkwanywe kwasababu ya uzembe kazini