KERO Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii

KERO Kinyerezi kuna shida kubwa ya maji, group la DAWASA WhatsApp halifanyi chochote kutatua kero hii

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wanapita sana humu sema wanapita kimya kimya ila Waziri wa Maji ni mzigo mno basi tuu ndo hiyo kubebana ila to be honest wizara imemshinda kabisa. Hakuna kinachofanyika zaidi ya porojo.

NB: tupo na baba ake mdogo Hussein Awesso ni full kuvimba na kuweka majungu kwa watumishi wa umma.
Poleni waTanzania
 
Bora nyinyi mabomba mnayo kuna maeneo kama gongo la mboto ulongoni B mtaa wa ubalozini wamesitisha kuunganisha wateja wapya watu wanaishi kwa kununua maji kila siku wanasema mpaka mradi mpya ukamilike, wakati huo huo kuna mradi wa zamani, ambao hutoa maji ya chumvi
Kwa kifupi hata maji ya chumvi tumenyimwa
 
 
Back
Top Bottom