Group limeundwa na watu wa dawasa wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh Waziri anahangaika huku na kule lkn wadawasa wachache wanafanya masihala na maisha ya wananchi.
.Rais anahangaika huku na kule kuna wapuuzi wamekaa kwenye kiyoyozi wanashika videvu.
Mh waziri kama upo humu ujue kuna binadamu wanatamani wakusikie. Nipe namba yako inbox iungwe kwenye Group ujionee.
View attachment 3008562
Hili eneo lina shida isiyoelezeka
Uje ujionee tangu mvua kubwa zinanyesha, hakuna maji hadi leo
Hujui kujieleza. Utapata shida sana na kwa huu ubishi maji hupati labda ukashtaki kwa Mungu bwege wewe.Hujaelewa au? Au ndio ninyi wa dawasa mnajofichamo huku. Acha ukimeo wako hapa wananchi wanahamgaika...kuna uhuasiano upi wa mwandiko na shida ya maji
Mvua ziliponyesha kwanini hamkuvuna na kuhifadhi?Group limeundwa na watu wa dawasa wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh Waziri anahangaika huku na kule lkn wadawasa wachache wanafanya masihala na maisha ya wananchi.
.Rais anahangaika huku na kule kuna wapuuzi wamekaa kwenye kiyoyozi wanashika videvu.
Mh waziri kama upo humu ujue kuna binadamu wanatamani wakusikie. Nipe namba yako inbox iungwe kwenye Group ujionee.
View attachment 3008562
Hili eneo lina shida isiyoelezeka
Uje ujionee tangu mvua kubwa zinanyesha, hakuna maji hadi leo
Mkuu hilo swala gumuMvua ziliponyesha kwanini hamkuvuna na kuhifadhi?
@tanpol mnamsikia huyu mkuu?Nje ya mada, mji wa Dar umejemlngwa kiholela sana.