Bora nyinyi mabomba mnayo kuna maeneo kama gongo la mboto ulongoni B mtaa wa ubalozini wamesitisha kuunganisha wateja wapya watu wanaishi kwa kununua maji kila siku wanasema mpaka mradi mpya ukamilike, wakati huo huo kuna mradi wa zamani, ambao hutoa maji ya chumvi
Kwa kifupi hata maji ya chumvi tumenyimwa