Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,322
- 3,648
Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo ni tarehe 6 June Maji hayajatoka,kama idara ya maji kazi hamuiwezi basi waambieni wananchi waende kufanya kazi wenyewe,au na ninyi Dawasa mnataka No Reform No Election
Ije kwenu,tunaona tu maboza yanakimbizana kuleta maji,wakija wanasema mvua zimeisha na maji ya mvua mliyokuwa mnayategemea yameisha,kwa hiyo Wananchi hawana pa kukimbilia wanasubiri huruma ya maji ya maboza yanayouzwa 36,000 Lita 2000 ukiwa mbishi hawakuletei unakufa na kiu kama uko jangwani,hata jangwani siku hizi hafadhali maji yapo kila siku na si maji ya chumvi bali maji safi
Ila kichekesho cha Tanzania licha ya mito zaidi ya 50 inayotililisha maji kila Mkoa lakini maji hamna,hili ajabu la Dunia hada kwa awa Dawasa ambao wanafanya maji mgao lakini magari ya boza yanauza maji mitaani kila siku kwa sh 36,000 kwa dumu la Lita 2000 utalotumia kwa siku mbili halafu unaita tena boza linakuwekea unalipa tena 2000,kwa wili lazima utumie 100,000 Mimi nadhani wale jamaa wa No Reform No Election wanafaa,Ili mambo yaweze kwenda sawa hasa Dawasa Kinyerezi.