Kisesetusese
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 547
- 892
Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji.
Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji wao. Wananchi waliokuwa wakilia maji hakuna tatizo limeanza kuonekana kuna baadhi ya wananchi wanahujumu mifumo hiyo.
Ifahamike kwamba mtu anayetumia mota ni rahisi kuunga nje ya mita Ili isisome Ili asije akabainika.
Mhandisi wa maji Kanda hiyo inaashria uwezo mdogo kufikiria kwa sababu haiwezekani asiwaze kasoro hiyo.
Sasa ameletwa meneja mpya nadhani ndio maana watendaji wameanza kutoa taarifa za madudu.
Taarifa za usiku huu wananchi wamekipanga wakisubiri maji, inabainika kuna wachache wenye mota/ machine za kuyavuta upande wao. Kwa kawaida mtu hutakuwa na mota lazima iwe na matanki makubwa.
Nani atawasaka usiku huu??