Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahaaa kweli naleta picha ya choo kilivoharibika nipo eneo la tukioDaaah jamani hii nchi haiishi vituko.Pole kwa mhusika...hicho kinyesi kichunguzwe vema tunaweza unda bomu letu la atomiki
Weka Picha tuone makalio yalivyounguamwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.
report ya mkemia isiyorasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.
nitampa pole yakeI see, so interesting and amazing. Pole kwa majeruhi.
Shukrani sana kwa taarifanitampa pole yake
labda ya chooWeka Picha tuone makalio yalivyoungua
Ya choo itachafua hali ya hewa humu ndani ya jukwaalabda ya choo
Sinyi tena!!!Mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
Alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.
Report ya mkemia isiyo rasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.
Kibamia kimenusurika.