Kinyesi chalipua choo na kumuunguza makalio mgonjwa

Kinyesi chalipua choo na kumuunguza makalio mgonjwa

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
Alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.

Report ya mkemia isiyo rasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.

Kibamia kimenusurika.
 
mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.
report ya mkemia isiyorasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.
Weka Picha tuone makalio yalivyoungua
 
Kumbe kuna mabomu ya asili..tuyatumieni basi [emoji23][emoji23][emoji23]

Ugiligili
 
Bio gas hiyo naona ila signature yako miss natafuta itasaidia kwa tiba.
 
Choo cha shimo au? Cha kukaa lingelipuka karo.
 
Si
Mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
Alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.

Report ya mkemia isiyo rasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.

Kibamia kimenusurika.
Sinyi tena!!!
 
Eti KIBA100%[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

"Nakwenda Swaziland, a.k.a Mswati IV"[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom