Kinyesi chalipua choo na kumuunguza makalio mgonjwa

Mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
Alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.

Report ya mkemia isiyo rasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.

Mungu ashukuriwe[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

Kibamia kimenusurika.
 
Mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
Alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.

Report ya mkemia isiyo rasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.

Kibamia kimenusurika.
Bora uwekezaji upo salama
 
Dah....acha maneno........ Tupia picha bana[emoji13] [emoji13]
 
Mwanaume mmoja ameunguzwa makalio yake baada ya kwenda haja kubwa.
Alienda haja kubwa baada ya kinyesi kutoka na kudondoka kwenye maji ulitokea mlipuko mkubwa uliovunja sinki la choo vibaya na kumuunguza sehemu za makalio.

Report ya mkemia isiyo rasmi inadai ni sumu iliyokuwepo kwenye kinyesi kutokana na madawa aliyokuwa anatumia.

Kibamia kimenusurika.
Tumbo Lake ni kiwanda tosha
 
Back
Top Bottom