Kinyesi kinachoelea

Kinyesi kinachoelea

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2010
Posts
850
Reaction score
103
Madakatari;
Wakati tukiwa wadogo na tunaendelea kukua tulikuwa tukiambiwa kuwa baada kujisaidia ni muhimu sana kuchughulia uone kinyesi chako kilivyo. Ukiona kinaelea ujue huna matatizo na tumbo. Ukiona kimezama ujue kuna shida kwenye tumbo.

JF doctor saidia nijue kama hii ni imani au ni science. Kwani hii tabia nimeendeleza mpaka leo, nikijisaidia tu lazima nichungulie, hata kama choo ni cha shimo!
 
hahahah! choo cha shimo ukichungulia unaona nini? Mmh! sijui hiyo science yako, ngoja tuwasikie madaktari!
 
hahahah! choo cha shimo ukichungulia unaona nini? Mmh! sijui hiyo science yako, ngoja tuwasikie madaktari!
nini choo cha shimo. ukienda kukata gogo mchangani au kichakani sijui utapimaje hii ishu ya kuelea ay kuzama.
Naamii madaktari wa kimaliza kucheka watatupa majibu mazuri
 
Back
Top Bottom