meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,464
- 4,832
Conspiracy or Controversy??
Mwezi Novemba mwaka 2024 ilitaarifiwa kuwa Rais Samia angefika Havana cuba kwa ajili ya kongamano la kimataifa kuhusu lugha ya Kiswahili.
Siku chache sana kabla ya ziara ikatangazwa kuwa Ziara hiyo imehairishwa na siku moja kabla kabla tamko la waziri wa mambo ya nchi za nje na Afrika mashariki nguli Thabit Kombo akatoa tamko rasmi la kuhairishwa kwa ziara hiyo na baadae aliainisha kuwa mawaziri waliofika huko waendelee na kongamano hilo kwa Ruhusa ya Mhe.Rais.
Je wahusika wote hawakutambua uwepo wa kimbunga Rafael katika kipindi cha mwezi wa ziara?
Je TISS ilinusa jambo baya kuhusiana na ziara hii?
Ikumbukwe pia kulitokea matukio mawili muhimu duniani yaliyozikumba ndege za viongozi ikiwemo Rais wa Irani na mgombea wa Urais katika nchi za kusini mwa Africa.
Ubalozi wa Tanzania na balozi wa Tanzania kipindi hiko wana lolote la kina la kuwaeleza walipa kodi wa Tanzania?
Hebu tuendelee kutafakari na tukihusihanisha na matukio na matamko yanayoendelea nchini hivi sasa.
ANDIKO HILI NI KWA GREAT THINKERS ONLY .