Kinyozi atupwa jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi

Kinyozi atupwa jela miaka 30 kwa kumpa mimba mwanafunzi

Sheria hii imekaa kukomoa bila kutoa suluhu kwa mtoto anayezaliwa wala mahitaji kwa aliyetiwa mimba.

Ni kweli kumpa mwanafunzi mimba ni jambo la kishenzi sana lakini mtoto anayezaliwa future yake inakuwaje? Serikali imejipangaje kwenye hili maana watoto wa mitaani na vibaka wanazidi kuongezeka
Mwanafunzi akishafikisha miaka 18 ni mtu mzima. Anategemewa kuweza kufanya maamuzi sahihi. Kumfunga mwanamme miaka 30 kwa kumpa mwanafunzi mimba ni ujuha wa hali ya juu. Kwanza sheria hii haizuii wanafunzi wa kike kufanya mapenzi. Sana sana inazidi ku-complicate mambo kwa kufanya wanafunzi wa kike watoe mimba bila utaalam au watumie njia za haja kubwa ili kuzuia wasipate mimba au dawa za kuzuia mimba bila utaalam. Narudia tena: waliotunga sheria hii ni wajinga sana.
 
Dah! Maskini Batista. Akkfika ndani bora awe nyapara tu ili alitendee haki jina la batista wa mielekani.
Lakini iringa nako kwa kesi zinazohusu nyenye ako vizuri. Si juzi tu kuna yule mwamba katafuna kifaranga cha dadaake? Leo batista naye mnguu ndichi.
Na unaeza kuta mtindo alikua anaenda kunyoa hauzidi hata buku 2.
 
Hii mechanism ya Utoaji wa MVUA 30 kisha mtoto anaachiwa mtoto ili amlee peke yake tena katika umri mdogo pamoja na kukosa elimu na PESA naona imekaa vibaya.

Ushauri wangu ni huu:

Ukikutwa na uhusiano na Mwanafunzi,Upigwe mvua chache kidogo kisha uwekwe katika orodha ya sex Offenders n.k.Miaka 30 iachwe kwa FORCED RAPE.Ikishatokea MIMBA na Interest za muathirika zitazamwa au ikishindikana basi Kuwe na OPTION ya kufanya Abortion kwa BINTI na Mwamba akikaa JELA miaka 30 asimwachie mwenzake STRESS.

Binti mwenyewe wa miaka 18 anaoneka Ngubare
Umesema vema kama critical thinker. Lakini watunga sheria na watafsili sheria wetu ni tatizo. Hawafikilii nje ya box. Yanatunga na kutafsili sheria kama hayajawahi kupenda au kutamani under age. Wakati ya nashinda gest house za Dodoma na vibint vya watu. Halafu yanapitisha sheria mbovu kiasi hicho. Sheria ambayo haimsaidii msichana wala wazazi wake kwa mtu kufungwa miaka 30. Ulaya mtu anambaka mtoto wa 12 yrs na kisha anamnyonga anahukumiwa life in prison, but eligible for parole after saving 10 yrs or 15 yrs. Hizo Ndiyo sheria za watu wanao tumia vichwa kufikili. Angalizo, siungi mkono watu kulala na under age.
 
Mmezeshe p2 kabla haujampelekea moto

Ukweli ni kwamba vitoto vya shule nowadays vipo hot sana
Nilipo Kuna shule ya mkoa wanavaa sket nyekundu

Ni hatari sana..Kuna binti mmoja ni msafi mzuri, soksi nyeupe ndefu hazionekani zinaishia wap ..mini skirt, anavaa kitambaa cha kichwa cheupe ,kiuno nyigu,, for sure nilisema Niko tayari anipe ndani ya defender tukimaliza ashuke me wanipeleke polisi
 
Akitoka jela mtoto ana miaka 30.
Mtoto akizaliwa ataambiwa baba yupo jela atauliza kosa, ataambiwa kwa kosa la kukuzaa wewe.Then mtoto ataichukia jamii. Hii sheria inakiuka haki ya maadili ya uzazi ikiwemo malezi. Japo imesaidia kujenga hofu bila hivyo mabinti wangeharibiwa sana future yao.
 
Mwanafunzi akishafikisha miaka 18 ni mtu mzima. Anategemewa kuweza kufanya maamuzi sahihi. Kumfunga mwanamme miaka 30 kwa kumpa mwanafunzi mimba ni ujuha wa hali ya juu. Kwanza sheria hii haizuii wanafunzi wa kike kufanya mapenzi. Sana sana inazidi ku-complicate mambo kwa kufanya wanafunzi wa kike watoe mimba bila utaalam au watumie njia za haja kubwa ili kuzuia wasipate mimba au dawa za kuzuia mimba bila utaalam. Narudia tena: waliotunga sheria hii ni wajinga sana.
Alifanya nae mapenzi akiwa na miaka 17
Hapa ishu sio kumpa mimba... kufanya mapenzi na mwanafunzi ni kosa la miaka 30, mwanafunzi anaweza kuwa miaka 12, 14, 17 ,....
 
Hii mechanism ya Utoaji wa MVUA 30 kisha mtoto anaachiwa mtoto ili amlee peke yake tena katika umri mdogo pamoja na kukosa elimu na PESA naona imekaa vibaya.

Ushauri wangu ni huu:

Ukikutwa na uhusiano na Mwanafunzi,Upigwe mvua chache kidogo kisha uwekwe katika orodha ya sex Offenders n.k.Miaka 30 iachwe kwa FORCED RAPE.Ikishatokea MIMBA na Interest za muathirika zitazamwa au ikishindikana basi Kuwe na OPTION ya kufanya Abortion kwa BINTI na Mwamba akikaa JELA miaka 30 asimwachie mwenzake STRESS.

Binti mwenyewe wa miaka 18 anaoneka Ngubare
Ikiwa hivyo hakuna mwanafunzi hatapata mimba sema familia ya mjela jela iwajibishwe kulea mtoto mpaka atakapokua
 
Alifanya nae mapenzi akiwa na miaka 17
Hapa ishu sio kumpa mimba... kufanya mapenzi na mwanafunzi ni kosa la miaka 30, mwanafunzi anaweza kuwa miaka 12, 14, 17 ,....
Noana unapiga ramli badala ya kuja na facts. Ni nani kakuambia alikuwa na miaka 17 huyo mwanafunzi wakati wameandika ni 18? BTW mwanafunzi anaweza kuwa hata na miaka 20 au zaidi! Mimi iisue yangu siyo 12, 14 years au hata 17! Hawa navyojua mimi wawe wanafunzi au wasiwe wanafunzi ni kosa kisheria kwani ni underage. Hoja yangu iko kwenye mwanamke mtu mzima anayesoma shule lakini anakatazwa na sheria kufanya sex. Mbona wa kiume hawakatazwi?
 
Ataolewa tu na shule atasoma, huku mtandaoni single mother wanatukanwa haswa ila huku kitaa nilipo wanaolewa hata wakiwa na watoto watatu na hapo kila mmoja na baba ake
 
dah mwamba amekula mvua ya kutosha sema hi nchi ngumu sana "Sheria zinatubgwa na la saba kipindi cha mkoloni halafu wanakuja fuata watu wa degree na PhD"
 
Back
Top Bottom