PRINCE CROWN JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 5,210 Reaction score 4,175 Jun 28, 2019 #1 Kwa waliompendekeza amunike kuwa kocha wa taifa stars nadhani alikua usingizini. jamaa ni mzito ata kufanya maamuzi ya kufanya sab. Mwenzake wa kenya yuko very shap. Anajua nini maana ya mpira. Tanzania ni bora timu wapewe hata wakina julio.
Kwa waliompendekeza amunike kuwa kocha wa taifa stars nadhani alikua usingizini. jamaa ni mzito ata kufanya maamuzi ya kufanya sab. Mwenzake wa kenya yuko very shap. Anajua nini maana ya mpira. Tanzania ni bora timu wapewe hata wakina julio.
Dripboy JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 3,178 Reaction score 4,609 Jun 28, 2019 #2 Amonike si kocha mbaya ni kocha mzuri sana ila hana wachezaji wazuri. Hata angekuwa Zidane akija kufundisha kwa wachezaji hawa atapigwa tu.
Amonike si kocha mbaya ni kocha mzuri sana ila hana wachezaji wazuri. Hata angekuwa Zidane akija kufundisha kwa wachezaji hawa atapigwa tu.
Your Majesty JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,242 Reaction score 5,345 Jun 28, 2019 #3 Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha.
Peramiho yetu JF-Expert Member Joined May 25, 2018 Posts 5,303 Reaction score 14,983 Jun 28, 2019 #4 Watanzania hamna Shukran mkuu wa mkoa wa dsm aliomba kwa amunike yeye apange kikosi kizur amunike kampa nafas makonda apange na haya ndio matokeo SOKA HALIHITAJI SIASA SOKA N MAANDALIZI TOKA CHINI
Watanzania hamna Shukran mkuu wa mkoa wa dsm aliomba kwa amunike yeye apange kikosi kizur amunike kampa nafas makonda apange na haya ndio matokeo SOKA HALIHITAJI SIASA SOKA N MAANDALIZI TOKA CHINI
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,178 Reaction score 39,641 Jun 28, 2019 #5 Sapta Sapta said: Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha. Click to expand... Hahahhahahaha
Sapta Sapta said: Amkeniii amkeniii bwanaaa CCM stars wamefungwa tena bwanaa uuuuuu hahaha. Click to expand... Hahahhahahaha
Khalifavinnie JF-Expert Member Joined May 19, 2017 Posts 2,796 Reaction score 2,367 Jun 28, 2019 #6 Wamefungwa tena?????!!
interlacustrineregion JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 7,134 Reaction score 7,395 Jun 28, 2019 #7 Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964[emoji848]
Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964[emoji848]
Your Majesty JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 3,242 Reaction score 5,345 Jun 28, 2019 #8 Kwani mwenyekiti wa kamati anasemaje?