Kinyozi kapewa kichwa ajifunzie kunyoa

Kinyozi kapewa kichwa ajifunzie kunyoa

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
Kwa waliompendekeza amunike kuwa kocha wa taifa stars nadhani alikua usingizini.

jamaa ni mzito ata kufanya maamuzi ya kufanya sab. Mwenzake wa kenya yuko very shap. Anajua nini maana ya mpira. Tanzania ni bora timu wapewe hata wakina julio.
 
Amonike si kocha mbaya ni kocha mzuri sana ila hana wachezaji wazuri.
Hata angekuwa Zidane akija kufundisha kwa wachezaji hawa atapigwa tu.
 
Watanzania hamna Shukran mkuu wa mkoa wa dsm aliomba kwa amunike yeye apange kikosi kizur amunike kampa nafas makonda apange na haya ndio matokeo

SOKA HALIHITAJI SIASA SOKA N MAANDALIZI TOKA CHINI
 
Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964[emoji848]
 
Back
Top Bottom