Kinyozi, mchomeleaji, bodaboda, mama ntilie,n.k. hulaza wastan elfu 10 kwa siku, mhitimu unaeogopa kuchekwa endelea kukaa nyumbani

Kumanina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wizara zianzishe vitengo vya mama ntilie Kkoo wapate pesa za per diem
 
Mtu akisoma uzi wako anaweza kudhani umeleta ujumbe wa kuwakomboa wasomi kumbe mpiga majungu tu, hii nchi ukisoma sana ni kesi kubwa sana na ni kosa kwa baadhi ya watu ambao hawakusoma ila wakatoboa kwa wizi au ndumba kisha kuanza kuwaponda wasomi
 
Wale wanaokuja na kikeri pale na majungu ya pilau...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…