Kinyozi na mteja

Fatma Bawazir

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
491
Reaction score
180
kuna mgeni mmoja alikuja kutoka nchi jirani alipofika Dar akaingia kwa kinyozi kunyoa nywele alipoingia akajitambulisha mimi ni mgeni natokea kenya,nauliza kunyoa nywele ni bei gani? kinyozi akajibu karibu ukae ni shs.3000 tu jamaa aka anza kunyolewa,wakati akiendelea kunyolewa kinyozi akajamba silence jamaa ushuzi ukampalia akawa hana la kusema,mara kimyozi akamuuliza jamaa umesema unatokea Nairobi vipi unaiyonaje hali ya hewa ya kwetu,jamaa akajibu kama haliyahewa yenyewe ndio hii ikizidi tu kutanyesha mvua ya mavi
 
kuna Mwarabu mmoja alikuwa ananunua karafuu Tanga kutokea milima ya Amani, sasa msaidizi wa Mwarabu ambaye alikuw amwenyeji wa Tanga alikuwa ananika karafuu ili isije ikaharibika. Ghafla yakaanza manyunyu ya mvua, mazungumzo yakawa kama hivi:

mwarabu: vevee!! haioni vua naanza kunyesha?
Msaidizi: Hapana bosi Kaskazi ananawa uso hivyo si mvua nyingi

Baada ya dakkika 10 ikanyesha bonge la mvua

Mwarabu: veve si lisema kaskazi anaosha uso? sasa ona kaskazi anaosha ***** yake!! imelowesha karafuu yangu yote!!!!
 
Teheteheteheeeeeee.
 

Imekaa vizuri stress reducer
 

du u make my day yani nimecheka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…