Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Fact ipo hapa
Walienda Kwa mtaalamu akawaambia mtapigwa kumi Kwa mkapa
Wazee wakamuambia angalia vizuri huku wakichukia
Mtaalamu akawaambia, naziona 8 .....Simba nguvu zikawaishia ikabidi wamuombe afanye mafrekeche.....
Ndipo "akawaambia ili zipungue mfungwe nusu basi ingizeni gari KINYUME NYUME". Mwisho wa kunukuu