Habari?
EKENYWA, MUHIMBILI Hospitals.
Naomba ushauri, ni hospitali ipi nimpeleke mgonjwa wangu? Kwanini nimpeleke uliponishauri badala ya kwingine?
Mgonjwa anasumbuliwa na vinyama vilivyoota ndani pua, anapata shida kupumua.
Natanguliza shukrani.
decomm!