Niliwahi kwenda hotel fulani hivi mbugani nikaambiwa wana supu ya kongolo,sikuwa na haja ya kuuliza bei nikaagiza kwato kwa mbwembwe nikiamini hii ndo size yangu,namaliza kula natoa buku jamaa ananiangalia kwa mshangao kumbe linauzwa buku 5,hadi sasa roho inauma.
Pia 1998 ndani MV Victoria natoka bk kuja mza nikapata mrembo,uko na kule akasomeka tukiwa second sitting ikabidi nifanye mchakato wa room kwa ma-TT nikauziwa room kwa 60000 nikaona sio tabu,kizaazaa kikaja kwenye condom nikapambana na ma-TT wakaniuzia condom 3 kwa 9000 aina SULTAN nilijalaumu kwa umalaya ila sikuwa na jinsi ukizingatia mtoto alikuwa mkali halafu alikuwa akichuka tu anapokelewa na ndugu zake halafu jioni anaunga na treni to Dar,hii siwezi sahau nazeeka nayo moyoni
Sent from my SM-G531H using
JamiiForums mobile app