Aacha utani Mkuu kwa sensitive mattersKunywa maji mengi sana km ray kigosi.
Nashukuru Sana, lakini sina uhakika Sana Kama Serengeti haina sukari japo nilishasikia hili.Serengeti brother, ndio kinywaji kinachoshauriwa kwa wenye kisukari!!
Pombe inakufanya uingie kwa ufasaha chumvini mkuuPombe kwani ina Ulazima, si uache! Au mpaka Ufe!!