Kinywaji gani chenye kilevi kinamfaa mwenye kisukari?

Kinywaji gani chenye kilevi kinamfaa mwenye kisukari?

Mwenzangu yamekukuta navaa viatu vyako jinsi ya kuzipita nyumba za kilaji na wallet imejaa mpaka inacheua
 
Umeshauriwa uache pombe mwili unabishana na daktari. Kweli mwili haufai kitu.
 
Boss najua ni ngumu lakini jiulize je kukata kiu yako ya pombe na afya/uhai wako kipi bora? Achana na pombe!
 
Kunywa wine aina ya DROSTDY-HOF claret select nafikiri itafaa
 
Back
Top Bottom