Kinywaji gani chenye kilevi kinamfaa mwenye kisukari?

Mwenzangu yamekukuta navaa viatu vyako jinsi ya kuzipita nyumba za kilaji na wallet imejaa mpaka inacheua
 
Umeshauriwa uache pombe mwili unabishana na daktari. Kweli mwili haufai kitu.
 
Boss najua ni ngumu lakini jiulize je kukata kiu yako ya pombe na afya/uhai wako kipi bora? Achana na pombe!
 
Mwenzangu yamekukuta navaa viatu vyako jinsi ya kuzipita nyumba za kilaji na wallet imejaa mpaka inacheua
Haaa haaa...inauma sana mkuu na stress za sasa hivi sijui jamaa ataishije!
 
Kunywa wine aina ya DROSTDY-HOF claret select nafikiri itafaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…