Narekebisha heading, hakina sukari sio subaru.Wadau hasa wanywaji wa pombe, kwa anayejua anijuze ni kinywaji gani ambacho mtumiaji akitumia hakitamsababishia ugonjwa wa sukari kwa hizi pombe kali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa text recognition, hio simu itakuja kuandika tusi humu ndani upate balaa.
Asante sana kwa ushauri, vipi kuhusu konyagi, k-vant n. K, maana nadhani vimetengeneza kwa miwa.Kinywaji ambacho hakina ngano ndio ambacho hakitakuwa na sukari mfano spirits kama whisky!
Asante sana kwa ushauri, vipi kuhusu konyagi, k-vant n. K, maana nadhani vimetengeneza kwa miwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hizi whisky huwa zinanywewa kavukavu au unachanganya na kinywaji kingine kama evervess n. K.Boss kazi Konyagi ina muwa kweli? Sidhani kama utakuwa ushainywa hata mara moja, ungeniambia ina Mchunga ama Aloe vera ingemake sense kidogo!
Hizi huwa tunapiga kav kav!Kwani hizi whisky huwa zinanywewa kavukavu au unachanganya na kinywaji kingine kama evervess n. K.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefungua kuona what is SUBARU katika kinywaji.