Kinywaji Gani hasa pombe kali ambacho hakina Sukari?

Kinywaji Gani hasa pombe kali ambacho hakina Sukari?

Narekebisha heading, hakina sukari sio subaru.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefungua kuona what is SUBARU katika kinywaji.
SUBARU.jpg
 
Usinywe pombe...!konyagi inatengenezwa kwa mfumo wa mvuke ..inachemshwa 🍇kwa joto kubwa..had inaanz toa mvuke ule mvuke ndo unapata nyagi..
 
Back
Top Bottom