Mwendo kasi hiyo,ni shidaKitu cha kirikuu(Safar mini) 1500 ukigonga 7 unatafuta njia ya nyumbani
Mmmmh,,,,,hivi inaleweshaga kweliSavannah
Za pakti au za mrusi mwenyeweAbsolut vodka
sorry mkuu, ww ni mangi? coz hilo jina ckutegemea kuliskia huku jfKitalolo hapendi?
sorry mkuu, ww ni mangi? coz hilo jina ckutegemea kuliskia huku jfKitalolo hapendi?
divine+red bullWana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
Unatafuta kuwa mweupe nn?ndo zenu wanaume wa darMaji tu basi
Mkuu mimi ni mwanamke wa mkoani.Unatafuta kuwa mweupe nn?ndo zenu wanaume wa dar
Ni kinywaji?Mtori