King Shaat
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 863
- 835
kinywaj gan hiko?Heltor
ladha je....?Helto haswa tanga yapatikana
soft drink?Dar zipo zipozile za kuchujua
hii kitu naogopa kutumiaBavaria bariiiiiiiiiiiiiiiiii!
Wana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
huwa nikikiangalia naona kama alcohol japo kuwa imeandikwa 0.00alcoholKwann jamen