Kinywaji gani hukupa raha???

Kinywaji gani hukupa raha???

natafuta rossella wine au banana wine kwa hapa dsm..sijajua ntazipata wapi..?wakuu nichoreeni ramani.
 
Ni tamu balaaaa yaan hata nikiwa na stress nkipata hiyo kitu nakuwa freshhhh
 
Back
Top Bottom