M2mwembamba
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 2,491
- 1,095
mh... ngoja ntjarib lakin.....Ni tamu balaaaa yaan hata nikiwa na stress nkipata hiyo kitu nakuwa freshhhh
"DIESEL DAWA"just what the Dr ordered.Wana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
Amarula
Adi naitumiaga kama chai sometimes
Hapo kwenye wanzuki umenikumbisha 1990
iko vp hyo mkuuHapa ni mwendo wa kindi
Hii ni pombe ya kienyeji huku kanda ya ziwa inapikwa kwa mahindiiko vp hyo mkuu
ngoja nkae pembeni mkuuHii ni pombe ya kienyeji huku kanda ya ziwa inapikwa kwa mahindi
Yaaaah,,,kwani mbali sanamwaka 1990?????
Inafanana na komoni nini??Hii ni pombe ya kienyeji huku kanda ya ziwa inapikwa kwa mahindi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji13] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ipo kama hyoInafanana na komoni nini??
Itaidi nitembelee huko aiseeIpo kama hyo
Karibu sana wewe mwenyewe utaipendaItaidi nitembelee huko aisee