Kinywaji gani hukupa raha???

Kinywaji gani hukupa raha???

Siku hizi nimehamia kwa k vant


Sent using iphone
 
Fanta pineaple ya bariiiiid sana au natural juice baridi hadi igande daah feeling heaven
 
Juice kwa ujumla ila nikiipata juice ya tende mambo huwa ni murua zaidi.

Nikiwa maeneo ya wapiga bierre basi bavaria baridi ndio kiburudisho mbadala kwangu, huwa kinakosha koo langu na kukonga moyo wangu haswaa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom