Bigbootylover
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 2,847
- 1,828
Fresh juice hasa ya embe mixer parachichi, nanasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nimejiachia taratibu kitu kwenye plimus cha bariiiidiHapo kwenye wanzuki umenikumbisha 1990
Wana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
Jibapa[emoji6]Mzaramo mweusi (bapa la konyagi)
Pombe ina expire ndani ya weekChibuku tu
Ooh have you seen my, so sweet and fine..Amarula
Adi naitumiaga kama chai sometimes
We Jamaa kama cyo wa ngara kagera basi itakuwa kwenye mipaka ya hukoFresh juice hasa ya embe mixer parachichi, nanasi
Hapa nimejiachia taratibu kitu kwenye plimus cha bariiiidi
Kivip ndg yang Jt ? Mbona haya mambo yapo tu hata hapa darWe Jamaa kama cyo wa ngara kagera basi itakuwa kwenye mipaka ya huko