Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikiaga inakimbilia chini,ni kweli??Amarula
Adi naitumiaga kama chai sometimes
Halafu weka na pilipili manga.[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Uji wa bada
Pilipili manga kidogo kwa kulia matoboshaHalafu weka na pilipili manga.[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Mirinda nyeusi ni burudani tosha. Nikikosa hiyo sparletta mpango mzimaWana chit-chat,embu funguka kinywaji unachokipendelea na hukupa burudani unapokinywa ,,binafsi huwa najisikia amani nikikandamiza Castle Lager.
Wanaume wa dar mnapenda sana haya madudeJuice ya viagra
Ndaga gwamyitu upijile. Tuli mu njila tukwisa
Eeeh baba kwani wewe inakutoa upele?!Wanaume wa dar mnapenda sana haya madude
Ukimaliza lazima ulale chali kidogo.Uji wa bada
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Na asubuhi ni.mnazi badala ya chaiNapenda mnazi, ila niupate kabla haujachacha.
Kitu cha kirikuu(Safar mini) 1500 ukigonga 7 unatafuta njia ya nyumbaniSafari Premium Lager!