Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koi limeshukuru!🤗
Arusha tunasema 'njota'👍🏾Maji
Hahaha kwaniniWalevi huu uzi hauwahusu
Mh! hiyo sasa sini tonicSparkiling water lime flavour
wewe ndo haukuhusuWalevi huu uzi hauwahusu
Pespsi barido hatareeePepsi
KAZI ni kipimo cha utu
Uzi wa walevi upo tayari 🤣Hahaha kwanini