Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
MdindifuKwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MdindifuKwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Mmh! Wewe haya mambo ya kizungu umeyajulia wapi?Sparkiling water lime flavour
Mbuyu,uliozungukwa na vinyasinyasiKwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Mtakujaga mdondoke vibaya mno!
Pepsi baridiiKwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
minzī ✔️Wasukuma kina Shimba ya Buyenze na Nyani Ngabu Wana yaita minze
Smoothie la tende, maziwa, korosho, oats, peanut butter, almond seed, 🍌 na avocado. Baata ya hapo nashushia mchesho wa pweza..Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Burudani zaidiLADHA KAMALI😊
View attachment 3250597
Yeah akili inatulia kabisaBurudani zaidi
Uko sahihi, ila lafudhi ya utamkaji waweza sema minzeminzī ✔️