Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Pepsi diet baridi nikimaliza kunywa nitafune na kizibo chake aisee napataga amani ya moyo
 
naona walevi wamesha anza utoto hawa jamaa ni wajinga vibaya mno
 

Attachments

  • AQMxxAH49TC-JT4KF-_9wpOoGRTig5AMKKf6FMSyNrw1_fovk9DKi0U3FtW_mZLfwTIpROKHcDefDmtf6ibNVry9.mp4
    6.8 MB
Fanta orange ya chupa,iwe baridi!

Ila itategemeana,kukiwa na konyagi pia,sitojua nianze na nani.
 
Back
Top Bottom