Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Ka,a nikipata ile gongo ya mihogo au ya komoni huwa nafarijika sana.
 
Juisi Yenye Mchanganyiko Wa Ukwaju+Ubuyu Bariidi.
 
Zamani silikuwa kali sana yaani ukinywa mpaka mdogo unakuwa mwekundu kama umepaka lipstick ...Bora za sasa halafu sukari ni moderate .
napenda zile za kuchujua nikiwa huko Tanga zile huanachujua kwa kiwango cha sukari nitakacho ndio sasa hivi hazina sukari ya kukarahisha saa zingine unaisikia kwa mbaaaaali
 
Back
Top Bottom