Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!

Mtindi
Poor Brain 🤣
Alafu wewe mkuu unataka kunitafutia BAN hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
PSX_20250225_183738.jpg
 
Maziwa

Nakumbuka Nilikua nikienda kuchunga naondoka na kidumu cha lita 3 kimejaa Busta mazima Fresh...

Nakumbuka Nilinenepa sana enzi za utoto wangu

Mpaka sasa Kinywaji Changu Pendwa ni Maziwa, Nikiyakosa sana Najifia kwenye Togwa
 
Kwa kawaida kila mtu anakitu ambacho akinywa kinamfurahisha! Je wewe ni Kinywaji gani ukinywa unasikia koo limeshukuru!🤗
Dah😋😋😋 Nyagi kibinti mixer veve
 
Back
Top Bottom